092-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuogopa Kuingia Katika Ushirikina

Hiswnul-Muslim

092-Du’aa Ya Kuogopa Kuingia Katika Ushirikina

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

 

[203]

اللّهُـمَّ إِنّـي أَعـوذُبِكَ أَنْ أُشْـرِكَ بِكَ وَأَنا أَعْـلَمْ، وَأَسْتَـغْفِرُكَ لِما لا أَعْـلَم

 

Allaahumma inniy a’uwdhu Bika an ushrika Bika waanaa a’-alamu wa astaghfiruka limaa laa a’-lam

 

Ee Allaah hakika mimi Najikinga Kwako kutokana na kukushirikisha hali ya kuwa najua na ninakuomba maghfirah na nisiyoyajua[1]

 

 

 

 


[1]Hadiyth ya Abu Muwsaa Al-Ash’ariyy (رضي الله عنه), Kauli ya Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم)

 

 خَطَبَنَا رَسُولُ اللَّهِ ‏ ‏صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ‏ ‏ذَاتَ يَوْمٍ فَقَالَ: ((أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا هَذَا الشِّرْكَ فَإِنَّهُ أَخْفَى مِنْ دَبِيبِ النَّمْلِ)) فَقَالَ لَهُ مَنْ شَاءَ اللَّهُ أَنْ يَقُولَ: "وَكَيْفَ ‏ ‏نَتَّقِيهِ وَهُوَ أَخْفَى مِنْ دَبِيبِ النَّمْلِ يَا رَسُولَ اللَّهِ؟" قَالَقُولُوا: ((‏اللَّهُمَّ إِنَّا نَعُوذُ بِكَ مِنْ أَنْ نُشْرِكَ بِكَ شَيْئًا نَعْلَمُهُ وَنَسْتَغْفِرُكَ لِمَا لَا نَعْلَمُ))

“Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) alituhutubia akasema: ((Enyi watu! Iogopeni shirki hii kwani imefichika zaidi kuliko kutambaa kwa sisimizi)) Akasema mmoja wa aliyejaaliwa na Allaah aseme: “Je vipi tujiokoe nayo na hali imefichika zaidi kuliko kutambaa kwa sisimizi ee Rasuli wa Allaah?”. Akasema: ((Semeni:

 اللَّهُمَّ إِنَّا نَعُوذُ بِكَ مِنْ أَنْ نُشْرِكَ بِكَ شَيْئًا نَعْلَمُهُ وَنَسْتَغْفِرُكَ لِمَا لَا نَعْلَمُ

Ee Allaah! Hakika sisi tunajikinga Kwako kutokana na kukushirikisha hali ya kuwa tunajua na tuinakuomba maghfirah kwa tusiyoyajua)) - Ahmad (4/403), na wengineo  na angalia: Swahiyh Al-Jaami’ (3/233) [3731] na Swahiyh At-Targhiyb wat-Tarhiyb ya Al-Albaaniy (رحمه الله) (1/122) [36].

 

Share