Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)093-Hiswnul-Muslim: Du’aa Kwa Aliyekuombea Allaah Akubariki

Hiswnul-Muslim

093-Du’aa Kwa Aliyekuombea Allaah Akubariki

www.alhidaaya.com

Bonyeza Hapa Usikilize

[204]

Atakapokuombea mtu:

بارَكَ الله

Ujibu:

وَفيكَ بارَكَ الله

Wa fiyka Baaraka-Allaahu

Na wewe Allaah Akubariki[1]


[1]Kauli ya ‘Aaishah (رضي الله عنها)  - Ibn As-Sunniy (Uk.138) [278] na angalia: Al-Waabil Asw-Swayyib ya ibn Al-Qayyim (Uk. 304) tahqiyq Bashiyr Muhammad ‘Uyuwn.