114-Hiswnul-Muslim: Anayopaswa Kusema Muislamu Akisifiwa

Hiswnul-Muslim

114-Anayopaswa Kusema  Muislamu Akisifiwa

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[232]

اللَّهُمَّ لَا تُؤاَخِذْنِي ِبَما يَقُولُونُ، وَاغْفِرْ لِي مَالا يَعْلَمُونَ وَاجْعَلْنِي خَيْراً مِمَّا َيظُنُّونَ

 

Allaahumma laa Tuaakhidhniy bimaa yaquwluwn, waghfirliy maa laa ya’-lamuwn, waj-’alniy khayrn mimma yadhwunnuwn

 

Ee Allaah, Usinichukulie kwa yale wanayoyasema na Nighufurie kwa yale wasiyoyajua,  na Nijaalie bora kuliko wanavyonidhania[1]

 

 

 

[1]Kauli ya Swahaaba - Al-Bukhaariy katika Al-Adab Al-Mufrad (761), na ameisahihisha Isnaad yake Al-Albaaniy (رحمه الله) katika Swahiyh Al-Adab Al-Mufrad [585]. Na yaliyo katika mabano ni ziada ya Al-Bayhaqiy katika Shu’b Al-Iymaan (4/228) kutoka njia nyingine.

 

 

Share