Nasiha Na Ukumbusho: Swawm Tarehe 9 Na 10 Al-Muharram Inafuta Madhambi Ya Mwaka Mzima!

 

 

Nasiha Na Ukumbusho Wa Swawm

Siku Ya Taasu'aa (9) Na 'Aashuraa (10)

 

 Alhidaaya.com

 

  

Nasiha: Swiyaam Tarehe 9 na 10 Al-Muharram zimesisitizwa na fadhila zake  ni kufutiwa madhambi ya mwaka mzima kwa dalili kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam):

 

((صِيَامُ يَوم عاشوراء إنِّي أحْتَسبُ علَى اللهِ أن يُكفِّرَ السَّنةَ التِي قبلَه)) رواه مسلم

"Swawm ya siku ya 'Ashuraa, nategemea kutoka kwa Allaah Ayafute madhambi ya mwaka uliotangulia." [Muslim]

 

 

Asiyejaaliwa  kufunga tarehe 9 basi asikose Swawm ya tarehe 10 Al-Muharram pekee.

 

Bonyeza viungo vifuatavyo upate faida tele kuhusiana na Fadhila Za Mwezi wa Al-Muharram na Swiyaam zake:

 

Hukmu Ya Swawm Ijumaa Ikiwa Ni Siku Ya 'Arafah Au 'Aashuraa

 

 

Ukumbusho Wa Kukithirisha Swawm Mwezi wa Al-Muharram Na Swiyaam Ya Taasu'aa na 'Aashuraa (9 na 10 Al-Muharram) Pamoja Na Masiku Mengineyo)

 

 

Fadhila Za Mwezi Wa Al-Muharam Na Siku Ya 'Aashuraa Na Bid'ah Zake

 

 

Fadhila Za Swiyaam Za Fardhi Na Za Sunnah

 

 

 

Wa biLLaahi At-Tawfiyq

 

Share