Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Miongoni Mwa Alama Za Watu Wa Bid’ah Ni Taasubu (Kasumba) Na Kupinga Haki

Miongoni Mwa Alama Za Watu Wa Bid’ah Ni Taasubu (Kasumba) Na Kupinga Haki

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

“Ahlul-Bid’ah (watu wa bid’ah) wana alama kadhaa; miongoni mwazo ni kwamba wana taasubu (kasumba) katika rai zao wala hawarudi katika haki hata kama itawabainikia.”

[Majmuw’ Fataawaa wa Rasaail Ibn ‘Uthaymiyn (5/90)]