07-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Mtu Mmoja Akiongoka Ni Bora Kuliko Kupata Ngamia Mwekundu
Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa
Hadiyth Ya 07
Mtu Mmoja Akiongoka Ni Bora Kuliko Kupata Ngamia Mwekundu
عَنْ سَهْلِ بن سعدٍ، t، أنَّ النَّبيَّ ﷺ قَالَ لِعَليًّ، : فو اللَّهِ لأنْ يهْدِيَ اللَّه بِكَ رجُلًا واحِدًا خَيْرٌ لكَ من حُمْرِ النَّعم متفقٌ عليهِ.
Sahl bin Sa’iyd (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) alimwambia ‘Aliy bin Abi Twaalib (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ): “Naapa kwa Allaah kwamba Akimuongoa Allaah mtu mmoja kupitia kwako ni bora kwako kuliko ngamia mwekundu.” [Al-Bukhaariy, Muslim]