Skip to main content

07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Nidhamu Za Safari - كِتابُ آداب السَّفر10-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendekezwa Kurudi Haraka Msafiri kwa Familia Yake Anapomaliza Haja Yake

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب استحباب تعجيل المسافرالرجوع إِلَى أهله إِذَا قضى حاجته

10-Mlango Wa Kupendekezwa Kurudi Haraka Msafiri kwa Familia Yake Anapomaliza Haja Yake

Alhidaaya.com

عن أَبي هريرة رضي اللهُ عنه : أنَّ رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : ((  السَّفَرُ قِطْعَةٌ مِنَ العَذَابِ، يَمْنَعُ أحَدَكُمْ طَعَامَهُ وَشَرابَهُ وَنَوْمَهُ، فَإذَا قَضَى أحَدُكُمْ نَهْمَتَهُ مِنْ سَفَرِهِ ، فَلْيُعَجِّلْ إِلَى أهْلِهِ )) متفقٌ عَلَيْهِ .

Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Safari ni kipande cha adhabu, inamzuia mmoja wenu chakula chake, kinywaji chake na usingizi wake. Hivyo, mmoja wenu atakapomaliza haja yake katika safari yake, na arudi haraka kwa watu wake." [Al-Bukhaariy na Muslim]