11-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: Haki Zinazompasa Mke Kumtendea Mumewe: 10-Ajipambe Na Ajitengeneze Kwa Ajili Yake
Swahiyh Fiqh As-Sunnah
كِتَابُ الزَّوَاجِ
Kitabu Cha Ndoa
الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ
Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume
10: Haki Zinazompasa Mke Kumtendea Mumewe: 10-Ajipambe Na Ajitengeneze Kwa Ajili Yake:
Kama ilivyotangulia nyuma kwenye Hadiyth, mwanamke bora zaidi ni yule ambaye mumewe akimuangalia anafurahika kutokana na anavyojiweka katika hali ya usafi na umaridadi nyakati zote.
