18-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: Pili: Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: Utangulizi:
Swahiyh Fiqh As-Sunnah
كِتَابُ الزَّوَاجِ
Kitabu Cha Ndoa
الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ
Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume
Pili: Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: Utangulizi:
Haki hizi, kwanza ni haki za kimali kama ilivyotangulia nyuma na pesa za matumizi. Pili, ni haki zisizo za kifedha, nazo ni hizi zitakazotajwa kwa mlolongo wa nambari.
