Skip to main content

10H(ii)-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: (ii) Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe16-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: (ii) Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: Amruhusu Kutoka Kama Atamwomba Ruksa Kwenda Kwenye Swalaah Ya Jamaa Au Kuwatembelea Jamaa Zake Nk Ikiwa Mazingira Yako Salama

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

كِتَابُ الزَّوَاجِ

Kitabu Cha Ndoa

الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ

Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume

Alhidaaya.com

15:  Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: 12-Amruhusu Kutoka Kama Atamwomba Ruksa Kwenda Kwenye Swalaah Ya Jamaa, Au Kuwatembelea Jamaa Zake Na Kadhalika Ikiwa Mazingira Yako Salama:

Ikiwa mazingira yako salama kutoka, basi ni vyema mume amruhusu.  Kutoka kwenda kwenye mambo hayo, kuna faida kubwa kwa mwanamke na hata kwa mumewe pia.