Sharbati Ya Maziwa Na Shira Ya Rozi

Sharbati Ya Maziwa Na Shira Ya Rozi

   

 

Vipimo

 

Shira Ya Rozi (rose syrup) -½ kikombe cha chai
Vipande vya barafu - 1 Kikombe cha chai

Maziwa - 4 Kikombe cha chai 
 

Namna Ya Kutayarisha

  1. Tia maziwa, shirah ya rozi na barafu katika jagi la kusagia (blender)
  2. Saga kwa muda wa dakika moja au mbili.
  3. Mimina sharbati kwenye gilasi ikiwa tayari.

 

 

 

 

 

 

Share