Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kumdhukuru Allaah Na Kutaja Majina Yake Mazuri?

 

Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kumdhukuru Allaah Na Kutaja Majina Yake Mazuri?

 

 www.alhidaaya.com

 

SWALI:

 

 

Asalamu aleykum warahmatullahi  warakatuh                                 

jina langu naitwa ……....  kutoka ………. Suali langu nihili mimi kila usiku nikilala nasoma ayatulkursy jee nikiwa katika hedhi yafaa kusoma ama nidhambi?napia kutaja majina ya mwenyezi mungu ukiwa katika hedhi yafaa? tafadhali nisaidieni namimi kwasababu nimejaribu kuuliza swali hili wengine wasema yafaa wengine wasema haifaii sasa sijui nimfuate nani 

 

INSHALLAH NASUBIRI MAJIBU YENU

 

 

 

JIBU:

 

AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho. 

.

 

 Unaweza kusoma Adhkaar zozote hata Aayah za Quraan na majina ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala).

 

 

Kwa maelezo zaidi tafadhali bonyeza viungo vifuatavyo :

 

 

 Kushika Na Kusoma Qur-aan Katika Hedhi, Nifaas Na Janaba

 

Mwanamke Mwenye Hedhi Afanye Nini Masiku Ya Mwisho Kupata Laylatul-Qadr?

 

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share