Mke Akimtamkia Mume Kuwa Amezini Atakuwa Ameachika?

SWALI:

Assalam alaykum

Naomba kuuliza kuwa mume akimtamkia mkewe  kuwa nimezini na mtu fulani  atakuwa amemuacha?

Asante  Best Regards,

 

 


JIBU:

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum)  na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

Mume akimtamkia mkewe "Nimezini na mtu fulani" atakuwa hajamuacha kwani tamko hilo si katika matamko ya talaka yanayozingatiwa kisheria.

Na Allaah Anajua zaidi

 

 

Share