108 - Al-Kawthar
الْكَوْثَر
108-Al-Kawthar
108-Al-Kawthar: Utangulizi Wa Suwrah
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ ﴿١﴾
1. Hakika Sisi Tumekupa (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) Al-Kawthar[1] (Mto katika Jannah).
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ ﴿٢﴾
2. Basi swali kwa ajili ya Rabb wako na chinja.
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الْأَبْتَرُ ﴿٣﴾
3. Hakika mbaya wako, yeye ndiye atakayekatiliwa mbali (kizazi na kila kheri).
[1] Sababun-Nuzuwl (Sababu Ya Kuteremshwa) Aayah Au Suwrah:
Bonyeza kiungo kifuatacho:
108-Asbaabun-Nuzuwl: Al-Kawthar: إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ
Rejea pia Utangulizi Wa Suwrah kwenye faida tele pamoja na fadhila za Suwrah.