Skip to main content

Imaam Ibn Mubaarak: Anayefanyia Ubakhili Elimu, Hutahiniwa Kwa Mambo Matatu

Anayefanyia Ubakhili Elimu, Hutahiniwa Kwa Mambo Matatu

Imaam Ibn Mubaarak  (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com 

Imaam Ibn Mubaarak (Rahimahu Allaah) amesema:

“Atakayefanya ubakhili katika elimu atatahiniwa kwa mambo matatu;  ima mauti yaondoke na elimu yake, au aisahau, au amlazimu mtawala na aondoke na elimu yake.”

[As-Siyar (8/378)]