Skip to main content

Imaam Sufyaan Bin 'Uyaynah: Aayat Za Qur-aan Ni Hazina Ukiziingia Usitoke Mpaka Uzifahamu Vyema

Aayat Za Qur-aan Ni Hazina Ukiziingia Usitoke Mpaka Uzifahamu Vyema

Imaam Sufyaan Bin ‘Uyaynah (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Sufyaan Bin ‘Uyayanh (Rahimahu Allaah) amesema:

“Kwa hakika Aayaat za Qur-aan ni hazina, basi pindi utakapoingia katika hazina zake basi jitahidi usiondoke hadi utakapofahamu kilichomo ndani yake.”  [Zaad Al-Musayyir cha Ibn Al-Jawziy (6/370)]