Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ramadhwaan: Nasiha Kwa Maimaam Wa Misikiti Waswalishe Qiyaamul-Layl Kwa Utulivu

 

Nasiha Kwa Maimaam Wa Misikiti Waswalishe Qiyaamul-Layl Kwa Utulivu

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Wengi miongoni mwa Maimaam wa Misikiti huharakiza katika Tarawiyh kwenye kurukuu na kusujudu, huharakiza mno, jambo ambalo linaharibuu Swalaah na inawatia mashakani Waumini walio dhafi, na wengine pia huenda wakaharakiza jambo ambalo linapoteza Twumaaniynah (utulivu) ambao ni nguzo katika nguzo za Swalaah wala Swalaah haitimii bila ya Twumaaniynah.

 

 

[Kalimaat Min Dhahab lish-Shaykh Ibn ‘Uthaymiyn Rahimahu-Allaah bimunaasabah Istiqbaal Shahr Ramadhwaan]

 

 

Share