04-Imaam Ibn ‘Uthyamiyn: Kusafiri Kwa Niyyah Ya Kukwepa Kufunga Swawm Ramadhwaan

 

Kusafiri Kwa Niyyah Ya Kukwepa Kufunga Swawm Ramadhwaan

 

Imaam Ibn ‘Uthyamiyn (Rahimahu-Allaah)

 

 

www.alhidaaya.com

 

 

Tuchukulie  mtu anasema:

"Kama inajuzu mtu kusafiri katika Ramadhwaan na inajuzu kutofunga kwa msafiri,  ina maana kwamba mnajuzisha kuepuka waajib wa kufunga."

 

Kama niyyah (lengo) la safari ni kwa ajili ya kuepuka Swiyaam, hivyo  safari imekatazwa.  Safari haijuzu kwa kuwa mtu amenuia kuepuka kitu ambacho ni waajib kwake. Hali kadhalika haijuzu kukata Swawm katika hali kama hii.  

 

[Imaam Ibn 'Uthaymiyn Fat-h Dhil-Jalaal Wal-Ikraam (7/257)]

 

 

Share