07-Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Anayeacha Swiyaam Ramadhwaan Juu Ya Kuwa Hapingi Kuwajibika Kwake

 

Anayeacha Swiyaam Ramadhwaan Juu Ya Kuwa Hapingi Kuwajibika Kwake

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Mwenye kuacha Swiyaam ya Ramadhwaan lakini hapingi kuwajibika kwake je  anakufuru kwa hilo? 

 

JIBU:

 

Ndio. Vipi ataacha Swiyaam na wakati huo  hapingi? Vipi ataacha Swawm ya Ramadhwaan naye hana udhuru unaomruhusu ki-Shariy’ah ikiwa kweli hapingi?  Ameacha kwa kuwa anaona si waajib:

 

[Fataawa Ramadhwaan Shaykh Fawzaan] 

 

 

Share