Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu
Vipi Muumin Yasimtoke Machozi Kwa Kuondoka Ramadhwaan
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)
Vipi Muumini yasimtoke machozi kwa kuondoka Ramadhwaan na hali hajui kama amebakiwa na chochote katika umri wake kuirudia (Ramadhwaan ya mwaka ujao)?
[Latwaaif Al-Ma’aarif 1/217]