Skip to main content

Fataawaa: Kulipa Swawm Na Sitta Shawwaal08-Imaam Ibn Baaz: Vipi Kuzifunga Swiyaam Za Sitta Shawwaal?

Vipi Kuzifunga Swiyaam Za Sitta Shawwaal?

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

"Muumini huchagua atakavo kuzifunga katika mwezi wote; akitaka afunge mwanzo wake, au katikati yake au mwishoni mwake, na akitaka afunge kwa kutofululiza, na akitaka afululize."

[Al-Fataawaa (15/390)]