Imaam Ibn Taymiyyah: Muislamu Mkweli Hufunguliwa Nuru Ya Hidaaya Na Allaah

Muislamu Mkweli Hufunguliwa Nuru Ya Hidaaya Na Allaah

 

Imaam Ibn Taymiyyah  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah  (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Muislamu mkweli anapomwabudu Allaah kwa yale Aliyoyawekea Shariy’ah, Allaah Humfungulia kila aina ya nuru ya hidaaya katika muda wa karibu.

 

 

[Al-Istiqaamah (1/100)]

 

 

 

Share