Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Dunia Ni Pandikizo La Aakhirah Pandikiza Khayr Upate Mavuno Ya Kukuridhisha

 

Dunia Ni Pandikizo La Aakhirah Pandikiza Khayr Upate Mavuno Ya Kukuridhisha

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn  (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Aliye na akili anaposoma Qur-aan na kutafakari, hutambua thamani ya dunia kwamba si chochote na kwamba ni pandikizo la Aakhirah. Kwa hiyo, tazama umepandikiza nini humo kwa ajili ya Aakhirah yako; ikiwa umepandikiza khayr basi bashiria kwa mavuno ambayo yatakuridhisha. Lakini ikiwa ni kinyume, basi umekhasirika duniani na Aakhirah.”

 

 

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaaihiyn (3/358)]

 

 

Share