Imaam Al-Awzaa’iy: Kwa Nani Mnaichukua Dini Na Yupi Mnamfanya Ni Mfano Wa Kuigwa

 

Kwa Nani Mnaichukua Dini Na Yupi Mnamfanya Ni Mfano Wa Kuigwa

 

Imaam Al-Awzaa’iy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Al-Awzaa’iy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Mcheni Allaah enyi Waislamu, na kubalini nasaha za wenye kunasihi, na waadhi wa wenye kuwaidhi, na mjue kwamba hii elimu ni Dini, basi tazameni ni kutoka kwa nani mnaichukua Dini yenu, na kwa yupi mnayemfanya ni mfano wa kuigwa.”

 

 

[Taariykh Dimishq Libni ‘Asaakir, mj. 6, uk. 361]

 

Share