Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Khayr Yote Imo Katika Kufuata Salaf

 

Khayr Yote Imo Katika Kufuata Salaf

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

“Mkitaka khayr, basi Wa-Allaahi hatujui njia ya iliyo ya khayr kama njia ya Salaf.

Kwa hiyo shikilieni Sunnah ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kwa magego na elekeeni kuingia katika njia ya Salafus-Swaalih.”

 

 

[Al-Ibdaa’ fiy Kamaal Ash-Shar‘, uk. 24]

 

 

Share