Imaam Ahmad: Allaah Amrehemu Mja Anayesema Haki Na Kufuata Salaf (Wema Waliotangulia)

 

Allaah Amrehemu Mja Anayesema Haki Na Kufuata Salaf (Wema Waliotangulia)

 

Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Allaah Amrehemu mja aliyesema haki na akafuata athar (nyayo za Salaf), akashikamana na Sunnah, na akafuata mfano wa wema, na akajiweka pembeni na watu wa bid’ah na akaacha vikao vyao kwa kutaraji malipo na kutaka kujikurubisha kwa Allaah.”

 

 

[Twabaqaatu Al-Hanaabilah, mj. 1, uk. 36]

 

 

Share