Imaam Salamah bin Diynaar: Mambo Mawili Utakapoyatenda Utapata Khayr Ya Dunia Na Aakhirah

Mambo Mawili Utakapoyatenda Utapata Khayr Ya Dunia Na Aakhirah

 

Imaam Salamah bin Diynaar (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Salamah bin Diynaar (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Mambo mawili utakapoyatenda, utapata khayr ya dunia na Aakhirah:

Unakifanya kile unachokichukia… ikiwa Allaah Anakipenda

Unakiacha kile unachokipenda… ikiwa Allaah Anakichukia.”

 

 

[Al-Ma’rifatu Wat-Taariykh, mj. 1, uk. 381]

 

 

Share