Skip to main content

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamme

Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamme

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Swalaah ya Ijumaa ni fardhi kwa kila mwanamme mwenye kukafilika katika ‘Ibaadah, mkazi, wala haikupasi kuikhalifu kwa sababu ya kazi hata kama mwajiri wako atakukataza.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/185)]