Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kukaa Pamoja Na Wasioswali

Kukaa Pamoja Na Wasioswali

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Je, inajuzu kukaa pamoja na ambao hawaswali?

 

 

JIBU:

 

Inajuzu kukaa pamoja nao kwa ajili ya kuwanasihi na kuwaongoza katika kusimamisha Swalaah za fardhi katika Jamaa’ah, lakini si kwa ajili ya kukaa nao na kupumbazika na maongezi yao. Laa sivyo imeharamishwa kukaa nao.

 

Wa biLLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyina Muhammad wa aalihi wa Swahbihi wa sallam.

 

[Fataawa al-Lajnah ad-Daaimah lil-Buhuwth al-'Ilmiyyah wal-Iftaa. [Namba: 10616, mj,  12, uk, 372 ]

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (10616)]

 

 

 

 

 

 

 

Share