Skip to main content

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy: Tenda ‘Amali Kwa Ajili Ya Dunia Na Aakhirah Kwa Kadiri Ya Kuweko Kwako

Kauli Za Salaf: ‘Ibaadah

Tenda ‘Amali Kwa Ajili Ya Dunia Na Aakhirah Kwa Kadiri Ya Kuwepo Kwako

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Mtu alimuuliza Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah): “Niusie: Akasema:

“Tenda ‘amali kwa ajili ya dunia kwa kadiri ya kubakia kwako humo, na  kwa ajili ya Aakhirah kwa kadiri ya kubakia kwako humo, was-salaam.”

[Hilyat Al-Awliyaa (7/56)]