Imaam Ibn Baaz: Usikate Tamaa Rahmah Ya Allaah Kwa Dhambi Wala Usiaaminsihe Adhabu Zake Kwa Wema

 

Usikate Tamaa Rahmah Ya Allaah Kwa Dhambi Nyingi

Wala Usiaaminishe Adhabu Zake Kwa Wingi Wa Wema

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Amesema Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah):

 

“Muislamu anapaswa asikate tamaa na Rahmah ya Allaah kwa sababu ya wingi wa dhambi zake, wala asiaminishe adhabu Zake kwa sababu ya wingi wa wema wake,  bali awe baina ya Al-Khawf  War-Rajaa (khofu na matarajio).”

 

 

Share