Al-Lajnah Ad-Daaimah: Haijuzu Kula Chakula Au Kupokea Zawadi Za Sherehe Zisizokuwa Za Kiislamu

 

 

Haijuzu Kula Chakula Au Kupokea Zawadi Zinazohusu Sherehe Zisizokuwa Za Kiislamu

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

 

“Haijuzu kwa Muislamu kula chakula kinachoandaliwa na Mayahudi au Manaswara au wanaoabudu masanamu - chakula kinachohusiana na sherehe zao. Wala haijuzu kwa Muislamu kupokea zawadi katika sherehe zao kwa sababu hivyo ni kuadhimisha na kushirikiana nao katika kudhihirisha alama za dini zao na pia kukuza bid’ah zao na kushiriki katika kufurahia sherehe zao. Na hii itapelekea katika kuzifanya sherehe zao kama vile ni sherehe zetu…” 

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (22/398-399 – Fatwa Namba (2282)]

 

 

 

 

 

 

Share