Al-Lajnah Ad-Daaimah: Hukmu Ya Anayefanyia Istihzai Dini Na Sunnah Za Nabiy (صلى الله عليه و آله وسلم)

 

Hukmu Ya Anayefanyia Istihzai Dini Na Sunnah Za Nabiy  (صلى الله عليه و آله وسلم)

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

Yeyote anayefanya istihzai (dhihaka) kuhusu Dini ya Kiislamu na Sunnah zilizothibiti kutoka kwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kama mfano (kufanyia istihzai, dhihaka) kuhusu ndevu, au (Muumini anayevaa) anayefupisha kanzu isiyozidi vifundo vya mguu au (aliyevaa kanzu) yenye isiyozidi ngoko mbili.

 

Akiwa (mtu huyo anayefanya istihzai; kudhihaki na kubeza) ilhali anajua kwamba (hayo anayofanyia dhihaka) ni Sunnah zilizothibiti, basi yeye ni kafiri!

 

 

[Al-Lajnah Ad-Daimah, Fatwa namba (2/36)

 
 

Share