Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Vipi Mnapoteza Swalaah Ilhali Swalaah Ni Mawasiliano Na Rabb Wenu

 

Vipi Mnapoteza Swalaah Ilhali Swalaah Ni Mawasiliano Na Rabb Wenu

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema: 

 

“Vipi mnapoteza Swalaah ilhali Swalaah ni mawasiliano baina yenu na baina ya Rabb wenu?  Ikiwa hakuna baina yenu na baina ya Rabb wenu mawasiliano, basi iko wapi Al-‘Ubuwdiyyah (Unyenyekevu, utiifu na udhalili kwa Allaah Aliyetukuka, na kutovuka mipaka Yake, na kutekeleza maamrisho Yake na kujizuia na makatazo Yake, kwa kujikurubisha kwa Allaah na kutaka thawabu Zake na kujihadhari na ghadhabu na ikabu Zake).

 

 

[Adhw-Dhwiyaa Al-Laami’ (137)]

 

 

Share