Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Kuwafanyia Watu Ihsaan Ni Sababu Mojawapo Ya Furaha Ya Nyoyo

Kuwafanyia Watu Ihsaan Ni Sababu Mojawapo Ya Furaha Ya Nyoyo

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:

 “Kwa hakika mtu Mkarimu, Muhsin, moyo wake unafunguka kwa watu, na ni mwenye nafsi nzuri, mwenye moyo ulioneemeshwa. Ama bakhili ambaye hana Ihsaan ni mtu mwenye kifua chenye dhiki zaidi, mwenye maisha ya shari na hisia mbaya na mwenye ghamu na humumi nyingi. ”

[Zaad Al-Ma’ad fiy Hadyi  Khairil-‘Ibaad (2/22)]