Skip to main content

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako

Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Chukua vya duniani vilivyokuwa ni halali kwako wala usisahau sehemu yako ya halali lakini iweke dunia mkononi mwako wala usiiweke moyoni mwako, na hili ndio muhimu zaidi.”

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (3/369)]