Tafuta

Search results

  1. Nini Maana Ya Talaka Ya Ilaa Vipi Inatolewa?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliapa kuwa atajitenga na wake zake kwa muda wa mwezi mmoja, naye akafanya hivyo. ...

    senior.editor.tamimi - Feb 19 2009 - 2:16pm

  2. 01-Matendo Mema Na Athari Yake Katika Utajiri Na Ukunjufu Wa Rizki: Utangulizi

    ... zetu na matendo maovu yetu aliyeongozwa na Allaah hakuna wa kumpoteza na aliyepotea hakuna wa kumuongoza. Tunashuhudia hakuna mola wa ... haki ila Allaah Pekee na tunashuhudia kwamba Muhammad ni Mja Wake na Mtume Wake.   Ama baada, ametaja Allaah rizki ...

    baawazir - Jan 30 2018 - 6:28am

  3. Mgonjwa Kupunguza Swalah Na Kuziunganisha

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... iliyowekwa na Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Hivyo, mambo yetu yote ni ...

    senior.editor.tamimi - Dec 12 2013 - 1:57pm

  4. Urithi Wa ‘Ami Yetu Unatumiliwa Na Nduguze, Watoto Hawapati Kitu, Je Sisi Tuwalipe Watoto Hao?

    ... miaka 3 nyuma kawacha mali yake nyengine kwa ndugu yake wa kiume, na vyombo vyake kwa ndu yake wa kiume mwengine, pamoja na urithi wa wazee wake hajaupata walipofariki. Na kawaacha watoto 8 na wake wawili. Urithi huo ...

    senior.editor.tamimi - Nov 22 2016 - 10:51pm

  5. Yuko Kwenye Dhiki Na Mateso Ya Mume - Amemtisha Kuwa Akiolewa Na Mwengine Atamuua

    ... yetu yalianza kuharibika baada ya mimi kuzaa mtoto wa pili. Mume wangu akaanza kunipiga, kunitukana, kunisumbulia kwa maneno haya ... social serikalini. Huyu bwana wangu alishawahi kuowa wake wanne na wote walimtoroka na kukimbia katika kipindi cha mwaka mmoja kabla ...

    senior.editor.tamimi - Jun 11 2009 - 1:15pm

  6. Nimekaa Eda Ya Uwongo Kwa Kuogopa Maneno Ya Watu

    ... ameolewa na mtu mzima na yeye alikua mdogo bado kuliko mume wake kwa kweli alikua mzee tena sasa ikawa wamekaa siku nyingi hawajabahatika ... na kweli akamuacha lakini yule mzee hana mtu huko wanakoishi wa hana mtoto wakuweza hata wakumfanyia chakula ikabidi yule aliekua mkewe ...

    Alhidaaya - Mar 27 2014 - 11:58am

  7. Kupewa Gari Kazini Imenunuliwa Kwa Mkopo Wa Ribaa Kisha Analipia Kwa Installments

    ...   Ni hukuma ya mtu kupewa gari kwa mkopo (mfano wa yale yanayoolewa makazini) halafu katika malipo ya gari hiyo analipa kwa ... Basi mkitofanya jitangazieni vita na Allaah na Mtume wake. Na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala ...

    senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 10:51am

  8. Mwenye Kufanya Maasi Ya Liwati Anaweza Kurudi Kwa Allah Kutubia?

    ... je kama muislamu kafanya hivyo anaweza kurudi kwa mola wake na akaomba tawbah?     JIBU   ...   Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...

    Alhidaaya - Feb 26 2015 - 5:49pm

  9. Ratiba Ya ‘Ibaadah Za Kutekeleza Siku Tukufu Ya ‘Arafah

    ... ya yote, weka niyyah safi kwa ajili ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kutekeleza ‘ibaadah hizi na pia omba du’aa Allaah (Subhaanahu ... tukufu.     1-Lala mapema usiku wake; Yaani tarehe 8 Dhul-Hijjah. Weka niyyah moyoni kufunga (Swawm) Siku ya ...

    Alhidaaya - Jul 19 2021 - 3:15am

  10. 02-Mapenzi Ya Ahlus-Sunnah Juu Ya Ahlul-Bayt: Al-Mahdi Na 'Umar

    ...     Anasema Dr. Ahmad Al-Kaatib mwanachuoni wa Kishia kutoka Iraq ambaye ni mwalimu katika vyuo vikuu mbali mbali vya dini ... wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) pamoja na wake zake Mama wa Waislamu, na lau kama wataacha mwenendo wa kuwatukana na ...

    baawazir - Dec 26 2018 - 5:52am

Pages