Tafuta
Search results
-
Mafunzo Gani Tunapata Katika Kisa Cha Asw-haabul Fiyl
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... hapa duniani. Na pia kuwa Allaah Aliyetukuka Huwasaidia waja wake wema hata ikiwa ni wachache. Na katika wakati wa leo tunaona vipi Misikiti ...
senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 9:57am
-
Mume Hamtoshelezei Matamanio Yake Ya Tendo La Ndoa, Anaomba Ushauri
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... katika magonjwa hayo ili aweze kumpatia dawa kwa ugonjwa wake huo. Na dawa ambazo hazina madhara ni zile za tiba asilia au tiba ya Mtume ...
senior.editor.tamimi - Nov 6 2008 - 4:10pm
-
Aliritadi Kisha Akarejea Katika Diyn, Je, Kuna Analopaswa Kulifanya Ili Asameheke?
... kutaka msamaha kwa ALLAH je atakiwa kutenda lolote msamaha wake ukubalike kidini na je atende nini kusafisha moyo wake na kujua kweli ... Sifa zote njema zamstahikia Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Rehma na amani zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...
Alhidaaya - Nov 7 2014 - 7:50am
-
Nimemdanganya Mume Wangu, Je, Nimeachika? Na Je, Inanipasa Nikae Eda?
... umenidaganya jua nishakuwacha. Bibi ana watoto watatu. WA miaka mitatu, na miwili na mmoja. Kazi ya ulezi pekee yake. Sababu bwana ... ( Subhaanahu wa Ta'ala) Anatuelezea umuhimu wa kukaa na wake zetu vizuri kama Alivyosema: “ Na ...
Alhidaaya - Oct 18 2013 - 4:20pm
-
Kusomea Maji Surah Za Ruqyah Kisha Kumwagia Kwenye Ukuta
... Aleykum, namshuku ALLAAH alie wapa fahamu ndugu zetu wa alhidaaya kutuelimisha. pia salamu nyingi zimfikie Nabiy wetu (s.a.w.) pia ... nge akakosa dawa ya kupunguza machungu, hivyo kuwafanya watu wake waende tena kwa Swahaba kuona kama wana usaidizi wowote. Mmoja kati ya ...
senior.editor.tamimi - Oct 30 2021 - 4:27pm
-
Mke Hataki Kujifunza Dini Ya Kiislam Na Hana Mapenzi Na Mume
... kucujuwa hatuwa yoyote yaani nilfanya subira huwu ni mwaka wa tatu sasa nasubiri. Najuwa kama ina laha maswabirina nafsi yangu imecoka ... mawaidha ili arudi katika Dini pamoja na kutekeleza wajibu wake katika nyumba yenu. Ikiwa baada ya huo muda hajajirekebisha basi chukua ...
Alhidaaya - Apr 17 2014 - 9:28am
-
Ikiwa Amesahau kitendo Au Ametia Shaka Ya Kuzidisha Kitendo Afanye Vipi Sajdatus-Sahw?
... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na Salaam zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... asujudu (Sujuud as-Sahw) na hatimae atoe tena Salaam. Mfano wake ni iwapo mtu ameswali Swalah ya Adhuhuri na akatia shaka katika rakaa kuwa ...
Alhidaaya - Nov 14 2014 - 12:38pm
-
20-Uswuul Al-Fiqhi Baada Ya Al-Imaam Ash-Shaafi’iy
... nafasi ( ar-Risaalah ) ya kuwashajiisha watu. Wajumbe wa kundi hili wengi wao hakika walitokana na Ahl ar-Rai’iy , ambao wote ... ni kazi inayotisha, kwani mchunguzi atahitaji kutumia muda wake mkubwa mno katika kukifanya kibarua hichi. ...
baawazir - Jul 29 2018 - 3:18am
-
Amekubali Posa Ya Muislamu Aliyeshika Dini, Lakini Sasa Anataka Kuolewa Na Aliyesilimu Akikhofu Atapotea Asipomkubali
... mwema, amejua dini vizuri na anifuata kwa kadri ya uwezo wake inshaallah. Swali ni kwamba naweza vunja posa yangu kwa ... nampenda na nnahofu nikimwacha atakua ni mwenye kupotea. Wa aleikum salaam. JIBU: ...
senior.editor.tamimi - Apr 7 2011 - 7:19pm
-
Mas-ala Ya Alcohol Katika Chakula Na Nguo Na Hukmu Zake
... warahamatullah, Alhamdulillah, wasalatu wa salamu ala rasulillah. Suala langu la khusu ... ulevi ni haramu ” (Muslim). Na, “ Kileweshacho wingi wake basi na uchache wake ni haramu pia ” (Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na ...
Alhidaaya - Oct 30 2014 - 10:40am