Tafuta
Search results
-
Imaam Akiomba Du’aa Anapokuwa Katika Mimbari Inapasa Kunyanyua Mikono?
... SWALI: Ikiwa imamu yuwatoa dua kwa jumla hatufai kuomba kwa matumbo ya mikono yetu twafaa tuitikie amin ... bila ya kunyanyua mikono? Sababu inasemwa kuwa ile huwa ni dua ya jumla na haipaswi kunyanyua mikono. Je hivi ni sawa. ...
senior.editor.tamimi - Nov 12 2020 - 9:12am
-
01-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kutembelea Mgonjwa Kufuata Jeneza, Kumswalia Maiti, Kuhudhuria Mazishi Yake na Kukaa Kwenye Kaburi Lake Kwa Muda
... aalihi wa sallam) kuzuru wagonjwa, kufuata jeneza, kumwombea dua anapochemua mtu, kutekeleza viapo, kumnusuru aliyedhulumiwa, kuitikia ... mgonjwa, kufuata jeneza, kuitikia mwaliko na kumwombea dua anapochemua mmoja wenu." [Al-Bukhaariy na Muslim] ...
senior.editor.tamimi - Oct 31 2021 - 5:14am
-
Mambo Gani Ya Kumfanyia Mtoto Anapozaliwa?
... aleykum warahmatullah wabarakatuh. Naombeni anayejuwa dua, unapojifungua siku hiyo na mtt apewe nini kabla hajanyonya? mimi sijui nasikia kuna dua rasmi na kuna kitu anapewa mtt kwa ajili ya kinga za dunia. ...
baawazir - Jan 10 2018 - 7:28am
-
Jirani Kafiri Anatubughudhi Sana Tumuombee Du’aa Gani?
... Tumekosa raha, tunapata maradhi kwa ajili yake. Kuna dua ya kumuomba Allaah atusaidie, mtume (saw) najuwa alibughudhiwa sana, alikuwa na dua maalum akisoma??? hili ni tatizo kubwa sana ambalo linaharibu familia yetu ...
senior.editor.tamimi - Jul 9 2017 - 8:45pm
-
Yanayompasa Bwana Harusi Na Bibi Harusi Siku Ya kufunga Ndoa
... wake juu ya sehemu ya mbele ya kichwa cha mkewe na kumuombea dua Swali ni je kuna ulazima wa kuomba hii dua (Nimeiona duaa yenyewe) kwa sauti au hata kimoyo moyo inafaa? na 2(e) ...
Alhidaaya - Apr 4 2014 - 5:56am
-
Du'aa Katika Swalaah Za Sunnah Inafaa Kusomwa Kwa Lugha Nyengine Na Kimoyoni?
... muda kunielimisha. Dua ndani ya swala ya fardhi ni lazima kuisoma kwa lugha ya kiarabu je na weza kusoma dua kimoyomoyo ktk swala za suna kwa lugha ya kiswahili ...
senior.editor.tamimi - Mar 11 2010 - 10:35pm
-
Mwanamke Ana Rafiki Mwanaume Mkristo, Anaweza Kumuombea Duaa Asilimu?
... Je ukipata mchumba mkristo inaruhusiwa kumuombea dua ili asilimu? Na kama unaruhusiwa ni zipi hizo dua? JIBU: ...
senior.editor.tamimi - Feb 26 2009 - 6:32pm
-
Du’aa Hukubaliwa Wakati Wa Kuolewa Au Wakati Mzazi Anapojifungua?
... nataka kuuliza inshaallah allah atawalipa ujira wenu eti dua ukisoma kipindi mtu anaolewa katika muda ule au kipindi mtu anajifungua huwa ni dua yenye kukubaliwa au uzushi tu. JIBU ...
senior.editor.tamimi - Jan 29 2009 - 4:19pm
-
Swalatul-Haajah Ni Swahiyh? Kama Swahiyh Ni Ipi Du'aa Yake?
... Swali: Naomba unifahamishe dua za kuomba katika sala za usiku? (salat alhaja) Wasalam ... Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kabla ya kuanza Dua'a na unapomaliza Du'aa yako. ...
Alhidaaya - Aug 3 2022 - 8:34pm
-
Mume Anashindwa Kurudisha Amana Ya Mke Aliyeachana Naye – Aombe Du’aa Gani Kuhusu Dhulma Aliyomfanyia?
... kisheria ya dini yetu kuhusu Mume huyo walioachana, na kuna dua gani za kudhulumiwa kwa Mke kutokana na mtalaka wake na malipo yake ni ... nitumiwe Inshaallah, pamoja na aya za Quraan na Hadithi na dua ya kudhulumiwa. Shukran SWALI LA PILI: ...
senior.editor.tamimi - Jul 9 2009 - 4:15pm