Tafuta

Search results

  1. Waliomiliki Mikono Yao Ya Kiume Ina Maana Inafaa Kufanya Mapenzi Na Wafanya Kazi Wa Nyumbani?

    ... ‘…na ambao tupu zao wanazilinda’ ‘Isipokuwa kwa wake zao au kwa wale (wanawake) iliyowamiliki mikono yao ya kuume. Basi ... yao ya kuume’??. Nitashukuru kupata ufafanuzi wa aya hizi na mfano wa hao wanaomilikiwa na mikono yao ya kuume. ...

    senior.editor.tamimi - Nov 6 2008 - 6:04pm

  2. Anataka Kujiajiri Mwenyewe Lakini Hana Mtaji

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...       Kutafuta kazi nyengine ambayo mshahara wake haujambo ili uweze kuweka akiba ambayo itakuwa mtaji wa kuanza shughuli ...

    senior.editor.tamimi - Mar 17 2011 - 8:01pm

  3. Benki Inatoa Zawadi Kutokana Na Kiwango Cha Pesa Uloweka Badala Ya Fedha, Je, Ni Ribaa Pia?

    ... Kuna viwango maalum ambavyo unahitajika uweke na kwa muda wa miaka maalum (miaka minne). Hizi zawadi utapewa lakini hutopewa ziada yoyote ... kujiunga na benki hizo kwa kuwashawishi. Kwa kuwa msingi wake (benki) ni ribaa, zawadi zinazo tolewa ni aina ya ribaa. ...

    senior.editor.tamimi - Oct 30 2014 - 10:38am

  4. Mume Ana Ukimwi Nifanyeje Nidumishe Ndoa Yangu. Je Ni Madhara Kuishi Naye?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi ... Kwa kuwa unampenda na unataka kumhudumikia katika ugonjwa wake huo, baki naye lakini msiwe mnakutana kimwili mpaka Allaah (Subhaanahu wa ...

    senior.editor.tamimi - Mar 19 2009 - 2:38pm

  5. Wanawake Wawili Wanaweza Kuswali Jama’ah? Vipi Iswalishwe? Wanaweza Kuswali Nyuma Ya Wanaume Wakiwa Shuleni?

    ...   Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi ... bali husimama safu moja, Imaam upande wa kushoto wa maamuma wake akiwa upande wa kulia wakiwa wako sawasawa.   Ama ...

    senior.editor.tamimi - Aug 29 2014 - 4:46pm

  6. Kipi Kiwango Cha Zakaah, Je, Inafaa Kutolewa Kwa Ajili Ya Madrasa?

    ... alaikum Sheikh.   Mimi nataka kujua mwanzo wa kiwango cha kutoa zakaah, kwa ile mali iliyopitikiwa na mwaka? Jee ... Waislamu na hata Waislamu wa kawaida kila mmoja kwa uwezo wake achangie katika ujenzi huo. Na kufanya hivyo itawafanya wenye kuchangia ...

    senior.editor.tamimi - Jun 14 2013 - 10:06am

  7. Utaratibu Wa Kuunga Swalah Ya Jama‘ah

    Maswali: Swalah Ya Jamaa Utaratibu Wa Kuunga Swalah Ya Jamaa‘ah     SWALI:   Namshuru ... kijana ‘Abdullaah bin ‘Abbaas alikuja akasimama upande wake wa kushoto, Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alimshika ...

    Alhidaaya - Sep 21 2018 - 4:56am

  8. Anataka Kuzini Kabla Ya Ramadhaan. Je Swawm Yake Itakubaliwa?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... tu kuhusu funga ya mtu huyo, naye akarudi kutubu kwa Mola wake, basi funga hiyo itakuwa sahihi na Allaah ni Mwingi wa Msamaha. Lakini ...

    Alhidaaya - May 8 2014 - 7:31pm

  9. Mke Kumkimbia Mumewe Nini Hukmu Ya Swawm Yake?

    ... hatma ya mwanamke huyu? Wa 'Alaykumus Salaam,   ... ambayo ni nzuri. Hapa mume anaweza kwenda kwa mke na wazazi wake ili wakae pamoja na wazazi wa mke pamoja na mke ili waweze kusuluhisha ...

    Alhidaaya - Apr 23 2007 - 3:28pm

  10. Ndugu Amefariki Ameacha Mama, Watoto 3 wa Kike Na 1 Wa Kiume Na Kuna Hisa Ya Mali Yake

    ... nina ndugu ambaye amefariki na amwecha watoto wane - watatu wa kike na moja wa kiume, na mimi katika hio mali nina share pia  na amwecha  ... 1.      Mama atapata sudusi ya mali ya mtoto wake (1/6 au 16.7%). 2.      Mtoto wa kiume atapata thuluthi ...

    senior.editor.tamimi - Nov 16 2016 - 9:45pm

Pages