Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kutumia Hikmah Katika Majaalis Ya ‘Ilmu Kama Kutokuwapa Uzito

 

 

Kutumia Hikmah Katika Majaalis Ya ‘Ilmu Kutokuwapa Uzito

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Utakapokuwa katika Majaalis ya elimu, ni vyema ukawafundisha watu. Lakini tumia hekima katika mlango huu, usiwape uzito watu yaani kila ukikaa na watu unawapa mawaidha na kuzungumza nao, kwani Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwapa mawaidha machache wala haongezi kwani nafsi zinachoka na zikichoka zitakimbia, na huenda baada ya hapo zikachoka mambo ya kheri kwa wengi wanaozungumza.”  [Sharh Hadiyth Jibriyl 98-99]

 

 

 

Share