Imaam Ibn Taymiyyah: Kuzungumza Juu Ya Watu Kuwe Kwa Uadilifu Hata Kwa Unaokhitalifiana Nao

 

Kuzungumza Juu Ya Watu Kuwe Kwa Uadilifu Hata Kwa Unaokhitalifiana Nao

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

“Kuzungumza juu ya watu ni wajibu kuwe kwa elimu na uadilifu, na si kwa ujinga wala kwa dhulma kama ilivyo hali ya watu wa bid’ah.”

 

 

[Minhaaj As-Sunnah, mj. 4, uk. 337]

 

 

Share