Imaam Hasan Al-Baswriy: Kusoma ‘Ilmu Kisha Kuifundisha Ni Bora Kuliko Dunia

Kusoma ‘Ilmu Kisha Kuifundisha Ni Bora Kuliko Dunia

 

Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Amesema Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah):

 

 

“Mimi kusoma mlango wa ‘Ilmu, kisha kwa mlango huo nikamfundisha Muislaam ni bora kwangu kuliko kuwa na dunia nzima, basi nitajaalia hilo katika njia ya Allaah.” 

 

[Al-Faqiyh Wal-Mutafaqqih, Juz 1 uk 102]

 

 

 

 

 

Share