Skip to main content

Imaam Yahyaa Ibn Kathiyr: Kurithi ‘Ilmu Ni Bora Kurithi Dhahabu Na Fedha Nafsi Njema Bora Kuliko Lulu

Kurithi ‘Ilmu Ni Bora Kurithi Dhahabu Na Fedha Nafsi Njema Bora Kuliko Lulu

Imaam Yahyaa Ibn Kathiyr (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Yahyaa Ibn Kathiyr (Rahimahu Allaah):

“Kurithi ‘Ilmu ni bora kuliko kurithi dhahabu na fedha. Nafsi njema ni bora kuliko Lulu, ‘Ilmu haiwezekani kwa na mtu huyo huyo akaendelea kuwa na raha ya kiwiliwili (wakati akitafuta ‘Ilmu).”

[Swahiiyh Jami’ul-Bayaan Wa Fadhwlihi, uk 97]