Imaam Ibn Taymiyyah: Chanzo Cha Bid’ah Ni Kuitwa’an Sunnah Kwa Dhana Na Matamanio

 

Chanzo Cha Bid’ah Ni Kuitwa’an Sunnah Kwa Dhana Na Matamanio

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Chanzo cha Bid’ah ilikuwa ni kuitwa’an (kuituhumu, kuipinga, kuitia dosari n.k) Sunnah kwa dhana na hawaa (matamanio), kama alivyo twa’an Ibliys katika amri za Rabb wake kwa rai yake na matamanio yake.” 

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (3/350)]

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share