Imaam Ibn Taymiyyah: Kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) Mwanzo Katikati Mwisho Wa Du’aa Ni Sababu Ya Kutakabaliwa Du’aa

 

Kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) Mwanzo, Katikati

Na Mwisho Wa Du’aa Ni Sababu Ya Kutakabaliwa Du’aa

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Amesema Imaam Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):

 

Hakika kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) kabla ya du’aa na katikati yake na mwisho wake ni katika sababu kubwa ambayo kwayo hutarajiwa kujibiwa du’aa zingine zote.

 

 

 

[Iqtidhwaa Asw-Swiraatw (2/249)]

 

 

 

Share