Imaam Ibn Taymiyyah: Furaha Ya Nafsi Ni Kuishi Maisha Yenye Manufaa Kwa Kumwabudu Allaah

Furaha Ya Nafsi Ni Kuishi Maisha Yenye Manufaa Kwa Kumwabudu Allaah

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Furaha ya nafsi ni kuishi maisha yenye manufaa kwa kumwabudu Allaah. Na pindi usipoishi maisha haya basi huwa ni maisha ya wafu na hayawi ni maisha ya asili yenye kuwawajibikia adhabu, basi haiwi ni maisha yenye uhai wenye kuneemeka na uhai, wala si maiti iliyostarehe mbali na adhabu."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (8/206)]

 

 

Share