Imaam As-Sa'dy: Du’aa Ni Silaha Ya Wenye Nguvu Na Wanyonge

Du’aa Ni Silaha Ya Wenye Nguvu Na Wanyonge

 

Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah)

 

 www.alhidaaya.com

 

 

“Du’aa ni silaha ya wenye nguvu na wanyonge na kimbilio na himaaya ya Manabii na Waja wema, na kwa du’aa wanajikingia kila balaa.”

 

 

[Majmuw’ Muallafaatih (23/736/)]

 

 

Share