Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Iyd: Hukmu Ya Kupeana Mikono, Kukumbatiana Na Kupongezana Siku Ya 'Iyd

 

 

Iyd: Hukmu Ya Kupeana Mikono, Kukumbatiana Na Kupongezana Siku Ya 'Iyd

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

SWALI:

 

Ni ipi hukmu ya kupeana mikono, kukumbatiana na kupongezana Siku ya 'Iyd?

 

 

 

JIBU:

 

 

Haya mambo hayana ubaya. Kwa sababu watu hawayachukulii kuwa ni 'Ibaadah na kujikurubisha kwayo kwa Allaah ('Azza wa Jalla).

Bali wanayachukulia kuwa ni katika mambo ya ada, na kukirimiana na kuheshimiana.

Na maadam ada hizo hazijakatazwa na shariy'ah, basi asili yake inabaki kuwa ni rukhsa.

Kama inavyosemwa, asili ya vitu ni halali, na makatazo ni 'Ibaadah isipokuwa tu kwa zile ('Ibaadah) zilizoidhinishwa na shariy'ah.

 

 

[Majmuw' Fataawa wa Rasaail Ash-Shaykh Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah), Mj.16, uk. 209]

 

 

 

Share