022-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Asikitie Doa Chakula Au Kukisema Vibaya Kama Hakukipenda

 

 

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبةِ وَمَا يَتَعَلَّقُ بِهِمَا

 

Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji Na Yanayohusiana Na Viwili Hivi

 

Alhidaaya.com

 

 

Adabu Za Kula

 

022-Asikitie Doa Chakula Au Kukisema Vibaya Kama Hakukipenda

 

 

 

6-  Asikitie Doa Chakula Au Kukisema Vibaya Kama Hakukipenda

 

 

Toka kwa Abu Hurayrah (Radhwiya Allaah ‘anhu) amesema:

 

"مَا عَابَ رَسُولُ اَللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلًمَ طَعَامًا قَطُّ ، إِن اشْتَهَاهُ أَكَلَهُ ، وَإِنْ كَرِهَهُ تَرَكَهُ"

 

“Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) hakukitia doa kamwe chakula.  Akikitamani hukila, na kama hakukipenda hukiacha”. [Hadiyth Swahiyh.  Imekharijiwa na Al-Bukhaariy (5409) na Muslim (2064)].

 

 

 

 

Share